Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atangaza kupunguza bei ya dizeli kwa ksh.10 kwa lita mwezi ujao

  • | Citizen TV
    14,827 views
    Duration: 6:12
    Serikali yapunguza bei ya dizeli kwa shilingi kumi baada ya mkutano na washikadau wa sekta ya uchukuzi uliofanyika jijini Maombasa. Hata hivyo, bei hiyo itatekelezwa katika tangazo la mwezi ujao la mamlaka ya kudhibiti kawi EPRA. Akizungumza na wanahabari, rais Ruto asema kuwa changamoto ya mafuta inatokana na mgogoro unaoendelea mashariki ya kati, na kuwataka wakenya kuwa wavumilifu huku serikali ikitafuta suluhu ya changamoto hiyo ikiwemo kuondoa ushuru wa kuagiza magari ya umeme. wamiliki wa matatu pia watangaza kuwa mgomo ambao ulikuwa uendelee wafutiliwa mbali.