Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atetea makato ya nyumba za bei nafuu kukabiliana na uhaba wa makazi

  • | Citizen TV
    1,164 views
    Duration: 2:24
    Rais William Ruto ametetea uamuzi wa kuanzisha makato ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu kukabiliana na uhaba wa makazi nchini huku miji ikiendelea kukua kwa kasi. Ameongeza kuwa licha ya upinzani kutoka kwa baadhi ya viongozi, mpango huo utaendelea huku akiahimiza mataifa ya Afrika kuiga mfumo huo ili kupata suluhu ya kudumu ya makazi.