Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atetea mikakati yake kaskazini akitoa pesa ya Nyota

  • | Citizen TV
    769 views
    Duration: 1:58
    Rais William Ruto ametetea mikakati mbalimbali ya serikali katika maeneo ya kaskazini mwa nchi akisema inalenga kunasua eneo hilo kutokana na kutengwa kwa miaka mingi.