- 6,161 viewsDuration: 3:54Katika siku ya kwanza ya ziara yake katika kaunti ya Murang’a, Rais William Ruto ametetea utendakazi wake akisisitiza kuwa ametimiza ahadi alizotoa kwa wakaazi wa mlima kenya. Rais akiwataka wenyeji wamuunge mkono katika safari yake ya kuwania urais kwa muhula wa pili. Rais amesisitiza kuwa amekabiliana na madalali wa kahawa, chai na maziwa waliokuwa wakipandisha bei ya bidhaa hizo, tofauti na wapinzani wake anaosema wanatoa ahadi hewa.