Rais Ruto atetea serikali yake jumuishi

  • | KBC Video
    54 views

    Rais William Ruto ametetea uamuzi wake wa kubuni serikali jumuishi akisema ni kwa ajili ya umoja na maendeleo ya taifa hili. Akiongea katika eneo la Aldai kaunti ya Nandi, rais Ruto alisema mgawanyiko wa kisiasa hauna nafasi katika serikali ya sasa kwani inaangazia kuwahudumia Wakenya. Rais pia aliwahakikishia wakulima kwamba bei ya mbolea haitabadilika huku msimu wa upanzi ukikaribia. Viongozi walioandamana na rais walielea azma yao ya kuunga mkono serikali jumuishi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive