Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atia saini mswada wa fedha wa mwaka 2026 kuwa sheria

  • | KBC Video
    3,641 views
    Duration: 1:47
    Rais William Ruto leo ametia saini mswada wa Fedha wa mwaka 2026 kuwa sheria na kufungua fursa ya bajeti ya kihistoria inayonuia kufadhili ajenda ya Serikali ya Mageuzi ya Kiuchumi ya “Bottom-Up”.Katika hotuba yake wakati wa hafla ya kutia saini mswada huo iliyofanyika katika Ikulu jijini Nairobi, rais ametetea sheria hiyo dhidi ya kile alichokiita propaganda na taarifa za uongo. Amesema sheria hiyo inalenga kuongeza usawa kwa kuimarisha ufuatiliaji na kuziba mianya ya kukwepa ushuru, ikilenga zaidi wanaokwepa kulipa ushuru. Trevor Ng’endo anatuletea taarifa hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive