Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto audiriki upinzani kutoa mpango mbadala kuwafaidi Wakenya

  • | KBC Video
    1,429 views
    Duration: 3:35
    Rais William Ruto ametetea mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu, akisema ni mpango ambao umewapa wakenya makazi pamoja na kubuni nafasi za ajira kwa maelfu ya wakenya. Rais Ruto ambaye alifanya ukaguzi wa miradi kadhaa ya maendeleo katika kaunti ya Kajiado, aliwasuta wale wanaopinga mpango huo, akiwataka kuwasilisha mpango unaofaa kuliko huo kwa wakenya. Alisema mradi huo utaendelea hadi kila mkenya apate makazi bora. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive