Rais Ruto awaomba radhi wananchi wa Tanzania

  • | KBC Video
    24 views

    Miito ya maridhiano na msamaha ilisheheni maombi ya kitaifa ya kila mwaka jijini Nairobi, huku rais William Ruto akiwaomba radhi wananchi wa Tanzania, Uganda na Kenya iwapo amewakosea. Hii ilikuwa baada ya mhubiri katika hafla hiyo Rickey Allen Bolden kutoa changamoto kwa serikali kuomba vijana msamaha, akisema shinikizo zao za uongozi bora zinapaswa kuheshimiwa. RAis aliwaomba radhi raia wa mataifa jirani kufuatia malumbano yaliyoshuhudiwa kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kufukuzwa kwa wanaharakati wa Kenya kutoka nchini Tanzania.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive