- 1,570 viewsDuration: 2:56Rais William Ruto amewasili jijini Ethiopia kwa kikao cha 39 cha muungano wa bara Afrika ambako alilakiwa na waziri wa viwanda wa Ethiopia Tarekegn Bululta. Mbali na kuhudhuria kikao hicho, rais pia anatarajiwa kushiriki mazungumzo na viongozi wa mataifa wanachama kuhusu kuimarishwa kwa ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, afya, usalama na ufadhili wa ajenda ya mageuzi ya Kenya katika miundo msingi, unyunyizaji maji mashamba na kawi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive