- 289 viewsDuration: 2:30Rais William Ruto ameendelea kuwashinikiza wapinzani wake kunadi sera zao badala ya kupanga maandamano na kupinga serikali. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa alipotoa zaidi ya shilingi milioni 147 chini ya mradi wa Nyota, rais ameshikilia kwamba mradi huo ndio suluhu ya ukosefu wa kazi kwa vijana.