Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awatunuku mashujaa wa riadha

  • | Citizen TV
    746 views
    Duration: 2:55
    Rais Willam Ruto ametoa zawadi ya shilingi milioni 27 kwa wanariadha wa Kenya walioshinda nishani 11 katika mashindano ya dunia ya Tokyo majuma mawili yaliyopita. Rais Ruto pia aliahidi kuwa wanariadha 500 watajumuishwa katika vikosi tofauti vya usalama