Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awatuza mashujaa 184 wakati wa sherehe za mwaka huu

  • | KBC Video
    293 views
    Duration: 2:02
    Rais Dkt. William Ruto ametoa tuzo kwa mashujaa 184 wakati wa sherehe za mwaka huu za Mashujaa katika kaunti ya Kitui. Wakati akitoa tuzo hizo katika Ikulu ndogo ya Kitui, Rais alisema watu hao ambao waliwekwa kwenye vitengo 14 walitambuliwa kwa michango yao na kujitolea kwao katika maendeleo ya taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive