Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azindua miradi kadhaa ya maendeleo eneo la South Rift

  • | KBC Video
    229 views
    Duration: 4:52
    Rais William Ruto amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku nne katika eneo la South Rift, ambapo alichukua fursa hiyo kuukosoa upande wa upinzani , kwa kile alichokitaja kuwa kuendeleza siasa za mgawanyiko na kukosa ajenda. Rais Ruto ambaye alizindua miradi kadhaa pamoja na kukagua miradi inayoendelea, aliuhimiza upande wa upinzani uelezee ajenda yao ya maendeleo badala ya kukosoa serikali kila mara. Amesisitiza kuwa serikali yake haitayumba katika kuandaa mpango wa maendeleo wa nchi. Mwanahabari wetu Timothy Kipnusu ana taarifa kuhusu ratiba ya rais katika siku ya mwisho ya ziara yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive