Rais William Ruto amezindua mpango kabambe wa mageuzi ya kiuchumi, na kutoa fursa kwa kile anachokiita awamu inayofuata ya maendeleo nchini inayolenga kuimarisha hali ya chakula nchini, nguvu za kiviwanda na miundombinu ya kisasa. Akizungumza wakati wa sherehe za mwaka huu za Siku kuu ya Mashujaa katika uwanja wa Ithookwe Kaunti ya Kitui, kiongozi wa taifa alisema serikali yake itavuka migawanyiko ya kisiasa ili kuleta mabadiliko muhimu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive