Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azindua mpango wa kufadhili huduma za SHA unaolenga wasiojiweza katika jamii

  • | KBC Video
    25 views
    Duration: 1:52
    Rais William Ruto amezindua rasmi mpango wa uthamini wa Halmashauri ya Afya ya Kijamii (SHA), unaolenga kusaidia familia zilizo katika mazingira magumu kote nchini. Rais amekariri kujitolea kwa serikali kuwalinda wananchi wanaokabiliwa na changamoto za kiuchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive