Rais Ruto azitaka idara za usalama kuchunguza kifo cha mbunge wa Kasipul Charles Ong’ondo Were

  • | Citizen TV
    4,232 views

    Rais William Ruto Amezitaka Idara Za Usalama Kuharakisha Uchunguzi Kubaini Aliyehusika Na Mauaji Ya Mbunge Wa Kasipul Charles Ong’ondo Were. Agizo La Rais Likifuatia Ripoti Za Mauaji Haya Kupangwa, Kwa Mbunge Ambaye Alikuwa Bungeni Kwa Siku Nzima Akihudhuria Vikao Kabla Ya Kifo Chake. Emmanuel Too Anaangazia Saa Na Dakika Za Mwisho Za Mbunge Huyu