Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azuru na kuzindua miradi ya maendeleo Kisii na Nyamira

  • | Citizen TV
    987 views
    Duration: 5:50
    Rais William Ruto atakuwa anazindua miradi kadhaa ya maendeleo maeneo ya Bobasi, Nyaribari Chache na Nyaribari Masaba kaunti ya Kisii katika siku yake ya tatu ya ziara rasmi eneo la Gusii.