- 16,176 viewsDuration: 3:32Ubabe kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua ulishamiri leo katika ibada ya wafu ya aliyekuwa Mbunge wa Olkalau David Kiharao katika kaunti ya Nyandarua. Wawili hao wakionekana kujibizana kuhusu nani ana ushawishi zaidi Mlima Kenya huku Gachagua akiwasuta wandani wa rais Ruto kwa kumlenga yeye na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta