Rais wa Senegal atangaza uchaguzi kufanyika kabla ya msimu wa mvua kuanza mwaka huu

  • | VOA Swahili
    26 views
    Rais wa Senegal Macky Sall ametangaza mswaada wa msamaha wa jumla "kwa vitendo vinavyohusiana na maandamano ya kisiasa" yaliyofanyika kati ya mwaka 2021 na 2024. Akizungumza wakati nchi inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kisiasa, uliochochewa na kuahirishwa uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 25 Februari, Sall anasema mswaada wa msamaha unatokana "na azma ya maridhiano ya kitaifa." #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.