Rais William Ruto ahutubia bunge la Ulaya

  • | Citizen TV
    5,061 views

    Rais William Ruto ameyataka mataifa ya bara Ulaya kuimarisha biashara kati yao na Kenya. Akizungumza katika bunge la umoja wa bara hilo, Rais Ruto alitoa ombi kwa mataifa hayo kupiga jeki juhudi za kenya za kuwatuma maafisa wa usalama haiti kudumisha usalama.