- 197 viewsDuration: 1:35Rais William Ruto amekosoa viongozi ambao wanapinga mpango wa serikali wa kukukuza taifa kufikia uchumi wa nchi zilizoendelea. Rais Ruto akifafanua kuwa tayari serikali imewekeza shilingi bilioni 2.7 kwenye hazina ya kitaifa ya miundomsingi kwa lengo la kutimiza azma ya kufikia maendeleo ya Singapore huku wito ukitolewa kwa viongozi wa sekta mbalimbali kushirikiana na serikali ili kutimiza ndoto hiyo.