- 3,791 viewsDuration: 3:06Rais William Ruto amemzawadi bingwa wa mbio za marathoni, Sebastian Sawe shilingi milioni 8 baada ya kuandikisha rekodi ya dunia kwenye mbio za marathon jijini London. Sawe alivunja rekodi kwa kutumia saa 01 dakika 59 na sekunde 30 kwenye mbio hizo jijini London.Sawe ndiye mwanamume wa kwanza kukimbia mbio hizo kwa chini ya saa mbili.