- 20,025 viewsDuration: 2:43Rais William Ruto sasa anapendekeza kubadilishwa kwa sheria kuruhusu kunyongwa kwa walanguzi wanaopatikana na hatia ya kuuza dawa za kulevya. Rais akisema kuwa sheria ya sasa haitoi adhabu ya kutosha. Haya yanajiri huku waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akitangaza kuwa kikosi maalum cha maafisa wa polisi wa kupambana na dawa za kulevya na pombe kitazinduliwa hivi karibuni