Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto atangaza kufungwa kwa kampuni ya Tata Chemicals Magadi Limited

  • | NTV Video
    1,620 views
    Duration: 2:41
    Mzozo baina ya serikali na kampuni ya Tata Chemicals Magadi Limited, yenye shughuli zake huko Magadi, kaunti ya Kajiado, sasa umechukua mkondo mpya baada ya rais William Ruto kutangaza kuwa Tata wamefurushwa na panatafutwa kampuni nyingine ya kuendelea na shughuli Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya