Skip to main content
Skip to main content

Ramogi FM yaadhimisha miaka 22 ya kuelimisha na kuburudisha

  • | Citizen TV
    257 views
    Duration: 1:33
    Kituo cha Redio Ramogi FM kimeadhimisha miaka 22 tangu kuanza kupeperusha matangazo yake mwaka 2002.ramogi fm inayotangaza kwa lugha ya dholuo ni mojawapo ya redio zinazomilikiwa na kampuni ya royal media services. Stesheni hii imeenziwa kwa vipindi vya kuburudisha, kuelimisha na kuunganisha wasikilizaji wake mbali na kuwa katika mstari wa mbele kuhakikisha uwajibikaji wa viongozi mbalimbali. Mkurugenzi wa redio na uvumbuzi wa rms Fred Afune amesema hatua zilizipigwa na Ramogi FM zinatokana na vipindi vinavyogusa mahitaji ya jamii.