Skip to main content
Skip to main content

Raphael Tuju aachiliwa kwa dhamana baada ya kukana mashtaka

  • | Citizen TV
    1,141 views
    Duration: 1:37
    Aliyekuwa waziri Raphael Tuju ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja baada ya kukana mashtaka ya kutoa taarifa za uongo kwa polisi.