Mwaka huu, reli ya TAZARA inatimiza miaka 50, huku reli ya Qinghai-Xizang au Qinghai-Tibet ikiwa inatimiza miaka 20. Moja inapita katika mbuga na nyika Afrika Mashariki, na nyingine inapita katika uwanda wa juu wenye barafu kaskazini magharibi mwa China. Kuna umbali wa zaidi ya kilomita elfu 10 na tofauti ya muda wa miaka 30 tangu zianze huduma zao, lakini kwa namna fulani, reli hizi mbili zinasimulia hadithi moja. Karibu kwenye kipindi maalum cha JICHO “Reli Mbili, Ndoto Moja”.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News