Rigathi atoa wito wa maridhiano kwa Uhuru Kenyatta na viongozi wengine wa Azimio

  • | KBC Video
    142 views

    Naibu rais Rigathi ametoa wito wa maridhiano kwa aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine wa Azimio katika eneo hilo, ili kuweka tofauti zao kando kwa ajili ya umoja wa eneo la Mlima Kenya. Gachagua ambaye alikuwa akiongea katika eneo la Tetu kaunti ya Nyeri wakati wa mazishi ya aliyekuwa naibu inspekta mkuu wa polisi King'ori Mwangi, alisema umoja wa viongozi katika eneo hilo ni muhimu katika kuokoa jamii ya eneo hilo kutokana na tofauti zilizoibuka wakati wa uchaguzi wa mwaka 2022 ambao umeendelea kuleta mgawanyiko miongoni mwao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News