Rigathi Gachagua atoa hakikisho la huduma bora kwa wananchi

  • | KBC Video
    83 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amewahakikishia vijana nchini kuwa serikali imezingatia na iko tayari kutekeleza matakwa yao. Akiongea huko Mwea katika kaunti ya Kirinyaga, naibu rais wakati huo huo ametoa wito kwa vijana kusitisha maandamano yao ya kila wiki na kumpa Rais muda wa kushughulikia matakwa yanayoibuka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive