- 659 viewsDuration: 2:54Mwaka huu wa 2025 umetajwa kuwa mbaya zaidi katika ukiukaji wa haki za kibinaadam. Ripoti ya shirika la IMLU ikiripoti kuwa Kenya imeorodheshwa kuwa moja ya mataifa yaliyoshuhudia ukiukaji mkubwa wa haki haswa kutoka kwa maafisa wa usalama. Watu takriban mia moja wakiuawa kiholela.