- 78,533 viewsDuration: 48s'Hii ni ripoti ya Rais, aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais' - Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania. Ripoti ya Tume ya Uchunguzi imewasilishwa kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan #bbcswahii #oktoba29 #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw