Ripoti ya upasuaji Richard Otieno waonesha alikatwa kwa kifaa chenye makali

  • | Citizen TV
    292 views

    Matokeo ya upasuaji wa maiti ya mwili wa mwanaharakati na mwanasiasa, marehemu Richard Otieno, aliyekuwa akijulikana kama molo president, umeonyesha kuwa aliaga dunia kutokana na majera ya kukatwa mara kadhaa kwa kifaa chenye makali kama panga au shoka