Skip to main content
Skip to main content

Risasi za hofu na huruma: Mwathiriwa wa tatu azungumzia matukio ya jana

  • | Citizen TV
    4,401 views
    Duration: 2:30
    Muathiriwa mmoja miongoni mwa watu watatu waliopigwa risasi na afisa wa polisi mtaani huruma hapa jijini nairobi amehadithia kilichojiri wakati walipokabiliwa na polisi. Aidha muathiriwa huyo leila roba angali anauguza majeraha baada ya tukio hilo. Walioshuhudia kisa hicho wanadai polisi aliyefyatua risasi hiyo hakukusudia kuwapiga watatu hao risasi.