6 Feb 2026 7:33 pm | Citizen TV 187 views Duration: 1:17 Timu ya taifa ya soka kwa wasichana chini ya miaka 20 Rising Starlets imekamilisha maandalizi yake tayari kuikabili tanzania siku ya jumamosi kwenye mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia uwanjani ulinzi complex