10 Feb 2026 8:04 pm | Citizen TV 175 views Duration: 41s Timu ya taifa ya soka kwa wasichana walio na chini ya miaka 20 Rising Starlets imewasili nchini tanzania tayari kwa mechi ya mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa kombe la dunia