- 3,228 viewsDuration: 3:08Ni siku saba baada ya Seneta wa Kakamega Boni Khalwale kutoa makataa kwa raia wa Kichina wanaodaiwa kuchimba dhahabu kinyume cha sheria katika Mto Yala. Khalwale aliwataka waondoke la sivyo wananchi wangechukua hatua kali dhidi yao. Uchimbaji umesitishwa, lakini mashine ya kuchimba dhahabu bado iko ndani ya mto, wahusika hawapo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya