Skip to main content
Skip to main content

Riziki Yangu: Tabitha Achieng atumia mabaki ya vitambaa wanasesere mikoba na mapambo ya nyumba

  • | NTV Video
    5,327 views
    Duration: 3:54
    Katika mtaa wa Adams jijini Nairobi, Tabitha Achieng ameamua kuona thamani mahali ambapo wengi huona taka. Kutokana na vipande hivyo vya vitambaa, ameanzisha biashara inayotengeneza doll (wanasesere), mikoba na mapambo ya nyumba yanayovutia wateja wa ndani na hata wa kimataifa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya