Tume ya huduma za mahakama JSC imetangaza uteuzi wa Robert Kibet Kibor kuwa msajili wa tume ya huduma za mahakama. Kupitia taarifa iliyotolewa hivi leo, tume ya huduma za mahakama ilisema Kibor atatoa uongozi wa kimkakati na kufuatilia usimamizi wa tume hiyo wa majukumu ya kiufundi na majukumu mengine ya pamoja, na kusaidia tume hiyo katika utekelezaji wa wajibu wake wa kikatiba.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive