Robert Prevost ni nani?

  • | BBC Swahili
    17,942 views
    Kuchaguliwa kwa Kardinali Robert Francis Prevost kuwa Papa Leo XIV kumeweka historia mpya ndani ya Kanisa Katoliki. Akiwa Papa wa kwanza kutoka Marekani, yeye ni kiongozi anayetajwa kuwa na mwelekeo wa kuendeleza mageuzi ya hayati Papa Francis, huku akisisitiza huduma kwa maskini na makundi yaliyo pembezoni. Ili kumfahamu kwa undani Papa mpya Leo XIV, Florian Kaijage anatuelezea #bbcswahili #papa #vatcan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw