Skip to main content
Skip to main content

Roboti anayekimbiza nguruwe

  • | BBC Swahili
    70,670 views
    Duration: 31s
    Roboti huyu maarufu mtandaoni anasaidia kupunguza nguruwe mwitu mjini Warsaw. Edward Warchocki ni roboti wa umbo la binadamu anayemilikiwa na mjasiriamali wa teknolojia wa Poland, Radosław Grzelaczyk. - Roboti huyo alionekana akiwafukuza nguruwe hao nje ya mji mkuu wa Poland huku akiwapigia kelele “ondokeni”. Nguruwe mwitu si jambo la kushangaza kuonekana katika mji mkuu wa Poland Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw