Ronald Kipkorir ndiye mshindi wa wiki hii wa shindano la Jipange na Viusasa

  • | Citizen TV
    514 views

    Ronald Kipkorir ndiye mshindi wa shindano la Jipange na Viusasa wiki hii. Kufikia sasa shindano la Jipange na Viusasa la kila wiki limefikisha washindi nane, kila mmoja akipokea shilingi laki tano huku shindano la kila siku likiandikisha washindi 56 ambao wamepokea shilingi laki moja kila mmoja. Shindano hili litaendelea hadi tarehe 26 desemba. Ili kushiriki katika shindano la jipange na viusasa, tumia nambari *487*3#.