- 400 viewsDuration: 1:43Kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na wakfu wa Zizi Afrique itapeperusha moja kwa moja vipindi maalum vitakavyoangazia maswala ya Elimu kupitia Jukwaa litakalowakilisha wanafunzi, walimu, wazazi na maafisa wa wizara ya Elimu