- 160 viewsDuration: 3:36Kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na wakfu wa Zizi Afrique itapeperusha moja kwa moja makala manne yatakayoangazia maswala ya Elimu kupitia Jukwaa litakalowakilisha raia wa kawaida, wanafunzi, walimu, wazazi na maafisa wa wizara ya Elimu.