- 167 viewsRuninga ya Citizen ndio runinga inayopendelewa zaidi nchini na inayofuatiliwa na watazamaji wengi zaidi. Hii ni kulingana na ripoti ya mwaka 2025 ya baraza la vyombo vya habari nchini, mck ambayo inaonyesha kuwa asilimia 56 ya wakenya hufuatilia taarifa za runinga ya citizen, huku kituo cha citizen radio pia ikiongoza katika kitengo cha redio.