Ruto aamrisha wafanyikazi wote wa serikali walio na vyeti ghushi warejeshe fedha na mali walizopata

  • | K24 Video
    125 views

    Rais William Ruto ameamrisha wafanyikazi wote wa serikali walio na vyeti ghushi warejeshe fedha na mali walizopata tangu waajiriwe huku akiwataka wajiuzulu mara moja. Wizara, idara zote za serikali pamoja na asasi zingine za serikali zimetakiwa ziwasilishe mipango ya jinsi ya kuhakikisha ni asilimia 35 ya bajeti pekee inatumika katika kulipa miashahara ya wafanyikazi.