- 758 viewsWizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema Jumatano kwamba maafisa wa Marekani nchini Niger wamefanya mashauriano ya kuwaondoa kwa wanajeshi wake walioko nchini humo. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Marekani kuwaondoa wanajeshi wake walioko Niger | VOA Swahili
- - 🔴 LIVE | News Now ››
- - Duniani Leo ››
- 22 May 2024 - Reading Time: 3 minutes Members of the Kiambu County A*sembly want a Member of Parliament arrested over the f***l shooting of a boda boda […]
- 22 May 2024 - Trump's campaign blamed an inattentive staffer for reposting the 30-second clip, which flashed a series of fictitious news stories painting a picture of American prosperity, with one including the term normally associated with Nazi Germany.
- 22 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Former Football Kenya Federation (FKF) President Sam Nyamweya has urged Gor Mahia FC to emulate their Tanzanian neig*bours Young Africans […]
- 22 May 2024 - Denis's report into Lacroix was concluded on May 6 and delivered to the pontiff in the days that followed, the Vatican said in its statement, which was translated into English and French, Canada's two official languages.
- 22 May 2024 - National Assembly Budget and Appropriations Committee Chairperson Ndindi Nyoro has revealed that the government will confirm all Junior Secondary School (JSS) teachers who are currently on intern terms.
- 22 May 2024 - The National Assembly Budget and Appropriations Committee Chair Ndindi Nyoro has downplayed assertions intimating that the school feeding programme has been scrapped due to its absence in the proposed budget for the 2024/25 fiscal year.
- 22 May 2024 - The National Assembly Budget and Appropriations Committee Chair Ndindi Nyoro has downplayed assertions intimating that the school feeding programme has been scrapped due to its absence in the proposed budget for the 2024/25 fiscal year.
- 22 May 2024 - Mombasa Woman Representative Zamzam Mohamed Chimba has firmly reiterated her unwavering stance against the use of muguka and the unregulated consumption of miraa in the county.
- 22 May 2024 - The Israeli communications ministry accused the AP of breaching a new ban on providing rolling footage of Gaza to Qatar-based satellite channel Al Jazeera.
- 22 May 2024 - Hospital officials said Israeli forces had fired on the facilities and that snipers had been deployed near one of them.