- 3,196 viewsDuration: 3:29Rais William Ruto ameelezea kutamaushwa kwake na idadi ndogo ya watu kutoka ngome yake ya bonde la Ufa na Jamii ya Kalenjin ambao wamejisajili kupiga kura katika zoezi la usajili endelevu wa wapiga kura lililokamilika wiki hii. Rais anasema Kwamba ni pigo kwake kwani anazunguka pembe zote za nchi kuomba uungwaji mkono ilhali Ngome yake inaonekana kulegea katika kuchukua Kura.Aidha rais amepuuzilia mbali upinzani kuhusu utendakazi wake akidai kwamba rekodi yake ya kazi inajiuza