Ruto ahimiza jamii ya kimataifa kuelekeza raslimali katika kupiga jeki ustawi wa kiuchumi.

  • | KBC Video
    33 views

    Rais William Ruto amehimiza jamii ya kimataifa kuelekeza raslimali zao katika kuondoa vikwazo vinavyohujumu utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu. Rais Ruto amesema uwianishaji raslimali na malengo ya maendeleo endelevu ni muhimu katika kupiga jeki ustawi wa kiuchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive