Skip to main content
Skip to main content

Ruto akosoa upinzani, aanza ziara ya siku tano Nyanza

  • | Citizen TV
    4,221 views
    Duration: 2:42
    Rais William Ruto ameendelea kukosoa kile alichokiita siasa duni za upinzani, huku akianza ziara ya siku tano katika maeneo ya Nyanza. Rais ameuza sera na miradi ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 700, ambayo amesema atahakikisha inakamilishwa, kama alivyokubaliana na marehemu kinara wa ODM Raila Odinga. Siasa za uchaguzi mkuu ujao zikitawala ziara hiyo, Chrispine Otieno anatuarifu.