- 2,404 viewsDuration: 2:50Rais William Ruto ameendelea kulaumu upinzani kwa kile anasema ni kukosa ajenda na kucheza pata potea na wakenya. Rais Ruto akizungumza katika kaunti ya Uasin Gishu haswa amewaonya vijana dhidi ya kutumika na upinzani bila ya kutoa suluhu kwa shida zinazowakumba ikiwemo ajira